Kishambala (au Kisambaa) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Washambala. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kishambala imehesabiwa kuwa watu 664,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Tanga, Kilimanjaro na Manyara.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.